Navigation Menu

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, September 29, 2016

Class Seven Graduation

Hii ilikuwa sherehe ya kuwaaga vijana wa darasa la saba shuleni Ghati Memorial, bila shaka ilikuwa siku ya furaha sana na kama unavyoona vijana wametokelezea sana na wenye furaha, tunawatakia masomo mema huko muendapo, endelezeni juhudi mlizotuonesha wakati mkiwa nasi hapa shuleni.

No comments:

Post a Comment